Kutoka 29:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Kisha twaa hayo mavazi na kumvika Haruni; itie kanzu, na joho la naivera, na naivera, na kifuko cha kifuani, na kumkaza kwa huo mshipi wa naivera uliosukwa kwa ustadi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kisha utachukua yale mavazi ya kikuhani umvike Aroni: Joho, kanzu, kizibao, kifuko cha kifuani, na kumfunga ule mshipi uliofumwa kwa ustadi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kisha utachukua yale mavazi ya kikuhani umvike Aroni: Joho, kanzu, kizibao, kifuko cha kifuani, na kumfunga ule mshipi uliofumwa kwa ustadi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kisha utachukua yale mavazi ya kikuhani umvike Aroni: joho, kanzu, kizibao, kifuko cha kifuani, na kumfunga ule mshipi uliofumwa kwa ustadi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Chukua yale mavazi na umvike Haruni koti, joho la kizibau, na kizibau chenyewe, pamoja na kile kifuko cha kifuani. Mfungie hicho kizibau kwa ule mshipi wa kiunoni uliofumwa kwa ustadi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Chukua yale mavazi na umvike Haruni koti, joho la kisibau na kisibau chenyewe pamoja na kile kifuko cha kifuani. Mfungie hicho kisibau kwa ule mshipi wa kiunoni uliosukwa kwa ustadi. Tazama sura |