Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 29:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Kisha utamchinja huyo kondoo dume, na kuitwaa damu yake, na kuinyunyiza katika madhabahu kuizunguka kandokando.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Nawe utamchinja na damu yake utairashia madhabahu pande zake zote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Nawe utamchinja na damu yake utairashia madhabahu pande zake zote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Nawe utamchinja na damu yake utairashia madhabahu pande zake zote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Mchinje huyo kondoo dume, chukua damu yake na uinyunyize pande zote za hayo madhabahu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Mchinje huyo kondoo dume, chukua damu yake na uinyunyize pande zote za hayo madhabahu.

Tazama sura Nakili




Kutoka 29:16
5 Marejeleo ya Msalaba  

Pia mtwae kondoo dume mmoja; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake huyo kondoo dume.


Kisha utamkatakata kondoo vipande vyake, na kuyaosha matumbo yake na miguu yake, na kuiweka pamoja na vipande vyake na kichwa chake.


Naye atamchinja huyo ng'ombe mbele ya BWANA; kisha wana wa Haruni, hao makuhani, wataileta karibu hiyo damu, na kuinyunyiza damu yake kandokando katika madhabahu iliyo hapo mlangoni pa hema ya kukutania


Naye ataweka mkono wake kichwani mwake huyo aliyemtoa, na kumchinja mlangoni pa hema ya kukutania; na wana wa Haruni, hao makuhani, watainyunyiza damu yake katika madhabahu pande zote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo