Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 29:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Pia mtwae kondoo dume mmoja; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake huyo kondoo dume.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 “Kisha utamchukua mmoja wa wale kondoo dume na kumwambia Aroni na wanawe waweke mikono yao juu ya kichwa chake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 “Kisha utamchukua mmoja wa wale kondoo dume na kumwambia Aroni na wanawe waweke mikono yao juu ya kichwa chake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 “Kisha utamchukua mmoja wa wale kondoo dume na kumwambia Aroni na wanawe waweke mikono yao juu ya kichwa chake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 “Chukua mmoja wa wale kondoo dume, naye Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 “Chukua mmoja wa wale kondoo dume, naye Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake.

Tazama sura Nakili

Kutoka 29:15
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha utamleta huyo ng'ombe mbele ya hema ya kukutania; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo ng'ombe.

Kisha utamchinja huyo kondoo dume, na kuitwaa damu yake, na kuinyunyiza katika madhabahu kuizunguka kandokando.

Kisha mtwae huyo kondoo wa pili; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake huyo kondoo.

Nawe vitie vyote katika kikapu, uvilete ndani ya kikapu, pamoja na huyo ng'ombe, na hao kondoo dume wawili.

Naye ataweka mkono wake kichwani mwake huyo aliyemtoa, na kumchinja mlangoni pa hema ya kukutania; na wana wa Haruni, hao makuhani, watainyunyiza damu yake katika madhabahu pande zote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo