Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 29:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Kisha utamchinja huyo ng'ombe mbele ya BWANA, mlangoni pa hema ya kukutania.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 na kumchinja mbele ya Mwenyezi-Mungu, mlangoni pa hema la mkutano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 na kumchinja mbele ya Mwenyezi-Mungu, mlangoni pa hema la mkutano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 na kumchinja mbele ya Mwenyezi-Mungu, mlangoni pa hema la mkutano.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Mchinje huyo fahali mbele za Mwenyezi Mungu kwenye mlango wa Hema la Kukutania.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Mchinje huyo fahali mbele za bwana kwenye mlango wa Hema la Kukutania.

Tazama sura Nakili




Kutoka 29:11
10 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha utamleta huyo ng'ombe mbele ya hema ya kukutania; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo ng'ombe.


Kisha twaa baadhi ya damu ya ng'ombe, uitie katika pembe za madhabahu kwa kidole chako; na kuimimina damu yote chini ya madhabahu.


Kisha mlete Haruni na wanawe hata mlangoni pa hema ya kukutania, ukawaoshe kwa maji.


kisha atamchinja huyo mwana-kondoo mahali hapo wachinjiapo sadaka ya dhambi na sadaka ya kuteketezwa, ndani ya mahali patakatifu; kwa kuwa kama hiyo sadaka ya dhambi ilivyo ya kuhani, ndivyo ilivyo sadaka ya hatia; ni takatifu sana;


Naye ataweka mkono wake kichwani mwake huyo aliyemtoa, na kumchinja mlangoni pa hema ya kukutania; na wana wa Haruni, hao makuhani, watainyunyiza damu yake katika madhabahu pande zote.


Naye atamleta huyo ng'ombe na kumweka mlangoni pa hiyo hema ya kukutania, mbele za BWANA; naye ataweka mkono wake kichwani mwake ng'ombe, na kumchinja huyo ng'ombe mbele za BWANA.


Kisha akamchinja; na Musa akaitwaa damu yake, akaitia katika pembe za madhabahu pande zote kwa kidole chake, akaitakasa madhabahu, kisha akaimwaga hiyo damu hapo chini ya madhabahu, na kuitakasa, ili afanye upatanisho kwa ajili yake.


Naye akaichinja sadaka ya kuteketezwa; na wanawe Haruni wakamsogezea ile damu, naye akainyunyiza katika madhabahu pande zote.


Basi Haruni akakaribia madhabahuni, akamchinja huyo mwana-ng'ombe wa sadaka ya dhambi, aliyekuwa kwa ajili ya nafsi yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo