Kutoka 28:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Itakuwa na vipande viwili vya mabegani, vilivyoungana kwenye ncha zake mbili; ili ipate kuunganishwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kitakuwa na kamba mbili za kukifungia mabegani zilizoshonewa kwenye ncha zake mbili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kitakuwa na kamba mbili za kukifungia mabegani zilizoshonewa kwenye ncha zake mbili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kitakuwa na kamba mbili za kukifungia mabegani zilizoshonewa kwenye ncha zake mbili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kitakuwa na vipande viwili vya mabegani vilivyoshikizwa kwenye pembe zake mbili ili kufungia kizibau. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kitakuwa na vipande viwili vya mabegani vilivyoshikizwa kwenye pembe zake mbili ili kufungia kisibau. Tazama sura |