Kutoka 28:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Nao wataitwaa dhahabu, na nguo ya rangi ya buluu, zambarau, na nyekundu na nguo ya kitani nzuri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Hao mafundi watatumia sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na nyuzi za dhahabu na kitani safi iliyosokotwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Hao mafundi watatumia sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na nyuzi za dhahabu na kitani safi iliyosokotwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Hao mafundi watatumia sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na nyuzi za dhahabu na kitani safi iliyosokotwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Waambie watumie dhahabu na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu pamoja na kitani safi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Waambie watumie dhahabu na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu pamoja na kitani safi. Tazama sura |