Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 28:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

35 Nayo itakuwa juu ya Haruni akitumika; na sauti ya hizo njuga itasikika hapo aingiapo ndani ya mahali patakatifu mbele ya BWANA na hapo atokapo nje, ili kwamba asife.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Aroni atavaa kanzu hiyo kutekeleza huduma yake ya ukuhani na sauti yake itasikika wakati anapoingia mahali patakatifu mbele yangu na wakati anapotoka, njuga hizo zitasikika, naye hatauawa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Aroni atavaa kanzu hiyo kutekeleza huduma yake ya ukuhani na sauti yake itasikika wakati anapoingia mahali patakatifu mbele yangu na wakati anapotoka, njuga hizo zitasikika, naye hatauawa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Aroni atavaa kanzu hiyo kutekeleza huduma yake ya ukuhani na sauti yake itasikika wakati anapoingia mahali patakatifu mbele yangu na wakati anapotoka, njuga hizo zitasikika, naye hatauawa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Ni lazima Haruni alivae anapofanya huduma. Sauti ya hivyo vikengele itasikika anapoingia na kutoka Mahali Patakatifu mbele za Mwenyezi Mungu, ili asije akafa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Ni lazima Haruni alivae anapofanya huduma. Sauti ya hivyo vikengele itasikika anapoingia na kutoka Mahali Patakatifu mbele za bwana, ili asije akafa.

Tazama sura Nakili

Kutoka 28:35
4 Marejeleo ya Msalaba  

njuga ya dhahabu na komamanga, katika pindo za joho kuizunguka pande zote.

Nawe fanya bamba la dhahabu safi na kuchora juu yake, mfano wa michoro ya mihuri, MTAKATIFU KWA BWANA.

BWANA akamwambia Musa, Mwambie Haruni ndugu yako, kwamba asiingie wakati wowote katika mahali patakatifu ndani ya pazia, mbele ya kiti cha rehema, kilicho juu ya sanduku, asije akafa; maana, mimi nitaonekana katika lile wingu juu ya kiti cha rehema.

wala si kwa damu ya mbuzi na ndama, bali kwa damu yake mwenyewe aliingia mara moja tu katika Patakatifu, akiisha kupata ukombozi wa milele.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo