Kutoka 28:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Nawe utafanya pete mbili za dhahabu, uzitie katika hizo ncha mbili za kifuko cha kifuani, katika ukingo wake, ulio upande wa naivera ulio ndani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Pia utatengeneza pete mbili za dhahabu na kuzitia kwenye ncha mbili za chini upande wa ndani wa kifuko cha kifuani karibu na kizibao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Pia utatengeneza pete mbili za dhahabu na kuzitia kwenye ncha mbili za chini upande wa ndani wa kifuko cha kifuani karibu na kizibao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Pia utatengeneza pete mbili za dhahabu na kuzitia kwenye ncha mbili za chini upande wa ndani wa kifuko cha kifuani karibu na kizibao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Tengeneza pete mbili za dhahabu, uziunganishe kwenye pembe mbili za chini, upande wa ndani wa kifuko cha kifuani karibu na kizibau. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Tengeneza pete mbili za dhahabu, uzishikamanishe kwenye pembe mbili za chini, upande wa ndani wa kifuko cha kifuani karibu na kisibau. Tazama sura |