Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 28:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Nawe utie hiyo mikufu miwili ya dhahabu iliyosokotwa katika zile pete mbili zilizo katika ncha za kifuko cha kifuani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 na mikufu miwili ya dhahabu uifunge kwenye pete hizo za kifuko cha kifuani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 na mikufu miwili ya dhahabu uifunge kwenye pete hizo za kifuko cha kifuani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 na mikufu miwili ya dhahabu uifunge kwenye pete hizo za kifuko cha kifuani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Funga ile mikufu miwili ya dhahabu kwenye hizo pete zilizo katika pembe za hicho kifuko cha kifuani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Funga ile mikufu miwili ya dhahabu kwenye hizo pete zilizo katika pembe za hicho kifuko cha kifuani,

Tazama sura Nakili




Kutoka 28:24
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kulikuwa na nyavu kama kazi ya kusuka, na masongo ya mikufu, kwa mataji yaliyokuwako juu ya vichwa vya nguzo; saba kwa taji moja, na saba kwa taji la pili.


Hivyo akazitengeneza nguzo; na kulikuwa na safu mbili za kuzunguka juu ya wavu mmoja, zifunike mataji yaliyokuwako juu ya vichwa vya nguzo; akafanya vivyo hivyo kwa taji la pili.


na mikufu miwili ya dhahabu safi; utaifanya iwe mfano wa kamba, ya kazi ya kusokotwa; nawe uitie ile mikufu ya kazi ya kusokotwa katika vile vijalizo.


Nawe utie pete mbili za dhahabu katika kile kifuko cha kifuani, na kuzitia hizo pete mbili katika ncha mbili za kifuko cha kifuani.


Na ncha zile nyingine za hiyo mikufu miwili ya kusokotwa utazitia katika vile vijalizo viwili, na kuvitia katika vile vipande vya mabegani vya naivera upande wa mbele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo