Kutoka 28:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 na safu ya pili itakuwa zumaridi, na yakuti samawi, na almasi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 safu ya pili itakuwa ya zumaridi, johari ya rangi ya samawati na almasi; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 safu ya pili itakuwa ya zumaridi, johari ya rangi ya samawati na almasi; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 safu ya pili itakuwa ya zumaridi, johari ya rangi ya samawati na almasi; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 katika safu ya pili itakuwa na almasi, yakuti samawi na zumaridi; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 katika safu ya pili itakuwa na almasi, yakuti samawi na zumaridi; Tazama sura |
Ulikuwa ndani ya Adeni, bustani ya Mungu; kila jiwe la thamani lilikuwa kifuniko chako, akiki, na yakuti manjano, na almasi, na zabarajadi, na shohamu, na yaspi, na yakuti samawi, na zumaridi, na baharamani, na dhahabu; kazi ya matari yako na filimbi zako ilikuwa ndani yako; katika siku ya kuumbwa kwako zilitengenezwa tayari.