Kutoka 28:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Nawe ukijaze viweko vya vito, safu nne za vito; safu moja itakuwa ni akiki, na yakuti ya rangi ya manjano, na baharamani, hivi vitakuwa safu ya kwanza; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Kitapambwa kwa safu nne za mawe ya thamani: Safu ya kwanza itakuwa ya akiki, topazi na almasi nyekundu; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Kitapambwa kwa safu nne za mawe ya thamani: Safu ya kwanza itakuwa ya akiki, topazi na almasi nyekundu; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Kitapambwa kwa safu nne za mawe ya thamani: safu ya kwanza itakuwa ya akiki, topazi na almasi nyekundu; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kisha weka safu nne za vito vya thamani juu yake. Safu ya kwanza itakuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kisha weka safu nne za vito vya thamani juu yake. Safu ya kwanza itakuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi; Tazama sura |
Ulikuwa ndani ya Adeni, bustani ya Mungu; kila jiwe la thamani lilikuwa kifuniko chako, akiki, na yakuti manjano, na almasi, na zabarajadi, na shohamu, na yaspi, na yakuti samawi, na zumaridi, na baharamani, na dhahabu; kazi ya matari yako na filimbi zako ilikuwa ndani yako; katika siku ya kuumbwa kwako zilitengenezwa tayari.