Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 27:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Uifanye ya mbao, yenye mvungu ndani yake; kama ulivyooneshwa mlimani, ndivyo watakavyoifanya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Utaitengeneza madhabahu kwa mbao, na iwe yenye mvungu ndani, kulingana na mfano niliokuonesha mlimani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Utaitengeneza madhabahu kwa mbao, na iwe yenye mvungu ndani, kulingana na mfano niliokuonesha mlimani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Utaitengeneza madhabahu kwa mbao, na iwe yenye mvungu ndani, kulingana na mfano niliokuonesha mlimani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Tengeneza madhabahu yawe na uvungu ndani yake ukitumia mbao. Utaitengeneza sawasawa na vile ulivyooneshwa mlimani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Tengeneza madhabahu yawe na uvungu ndani yake ukitumia mbao. Utaitengeneza sawasawa na vile ulivyoonyeshwa mlimani.

Tazama sura Nakili




Kutoka 27:8
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Daudi akampa Sulemani mwanawe mfano wa ukumbi wa hekalu, na nyumba zake, na hazina zake, na ghorofa zake, na vyumba vyake vya ndani, na mahali pa kiti cha rehema;


Hayo yote, akasema Daudi, yamenielea kwa maandiko kutoka kwa mkono wa BWANA, naam, kazi zote za mfano huu.


Nawe angalia ya kwamba uvifanye kama mfano wake, uliooneshwa mlimani.


Sawasawa na haya yote nikuoneshayo, mfano wa maskani, na mfano wa samani zake zote, ndivyo mtakavyovifanya.


Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu.


Ile hema ya ushahidi ilikuwa pamoja na baba zetu jangwani, kama alivyoagiza yeye aliyesema na Musa, ya kwamba aifanye kulingana na mfano ule aliouona;


watumikiao mfano na kivuli cha mambo ya mbinguni, kama Musa alivyoagizwa na Mungu, alipokuwa tayari kuifanya ile hema; maana asema, Angalia ukavifanye vitu vyote kwa mfano ule uliooneshwa katika mlima.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo