Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 27:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 Nawe tia huo wavu chini ya kizingo kiizungukacho madhabahu upande wa chini, ili huo wavu ufikie katikati ya hiyo madhabahu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Wavu huo utauweka kwenye ukingo wa madhabahu upande wa chini ili ufike katikati ya madhabahu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Wavu huo utauweka kwenye ukingo wa madhabahu upande wa chini ili ufike katikati ya madhabahu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Wavu huo utauweka kwenye ukingo wa madhabahu upande wa chini ili ufike katikati ya madhabahu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Weka wavu huo chini ya ukingo wa madhabahu ili ufikie nusu ya kimo cha madhabahu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Weka wavu huo chini ya ukingo wa madhabahu ili ufikie nusu ya kimo cha madhabahu.

Tazama sura Nakili

Kutoka 27:5
4 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe uifanyie hiyo madhabahu wavu wa shaba; kisha utie pete nne za shaba katika hizo pembe nne za ule wavu.

Nawe fanya miti kwa ajili ya madhabahu, miti ya mshita, na kuifunika shaba.

Naye akaifanyia madhabahu wavu wa shaba, akautia chini ya ukingo kuizunguka pande zote, ukawa katikati ya hiyo madhabahu.

Tena toka chini, juu ya nchi, hadi daraja ya chini, dhiraa mbili, na upana wake dhiraa moja; tena toka daraja ndogo hadi daraja kubwa, dhiraa nne, na upana wake dhiraa moja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo