Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 27:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Upande wa pili ni vivyo hivyo chandarua ya dhiraa kumi na tano; nguzo zake tatu, na vitako vyake vitatu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Vilevile katika upande wa pili wa mlango chandarua kitakuwa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Vilevile katika upande wa pili wa mlango chandarua kitakuwa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Vilevile katika upande wa pili wa mlango chandarua kitakuwa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Kutakuwa na mapazia ya dhiraa kumi na tano kwa upande mwingine wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Kutakuwepo tena na mapazia ya dhiraa kumi na tano kwa upande mwingine wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.

Tazama sura Nakili

Kutoka 27:15
2 Marejeleo ya Msalaba  

Chandarua upande mmoja wa lango itakuwa dhiraa kumi na tano upana wake; nguzo zake zitakuwa tatu na vitako vyake vitatu.

Na kwa lile lango la ua patakuwa na kisitiri cha dhiraa ishirini, kitakuwa cha nguo ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na kitani nzuri yenye kusokotwa, kazi ya mshonaji taraza; nguzo zake zitakuwa nne, na vitako vyake vinne.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo