Kutoka 27:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Chandarua upande mmoja wa lango itakuwa dhiraa kumi na tano upana wake; nguzo zake zitakuwa tatu na vitako vyake vitatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Chandarua cha upande mmoja wa mlango kitakuwa na upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Chandarua cha upande mmoja wa mlango kitakuwa na upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Chandarua cha upande mmoja wa mlango kitakuwa na upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yatakuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yatakuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu. Tazama sura |