Kutoka 27:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Na upana wa ule ua upande wa mashariki kuelekea mashariki utakuwa ni dhiraa hamsini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Upande wa mashariki kuliko na mlango, ua utakuwa na upana wa mita 22. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Upande wa mashariki kuliko na mlango, ua utakuwa na upana wa mita 22. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Upande wa mashariki kuliko na mlango, ua utakuwa na upana wa mita 22. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Upande wa mwisho wa mashariki jua linakochomoza, ua pia utakuwa na upana wa dhiraa hamsini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Upande wa mwisho wa mashariki jua linakochomoza, ua pia utakuwa na upana wa dhiraa hamsini. Tazama sura |