Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 27:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Ni vivyo hivyo upande wa kaskazini, urefu wake hiyo chandarua utakuwa ni dhiraa mia moja, na nguzo zake ishirini, na vitako vyake ishirini vitakuwa vya shaba; kulabu za zile nguzo na vitanzi vyake vitakuwa vya fedha.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Hali kadhalika upande wa kaskazini, urefu wa chandarua utakuwa mita 44, na nguzo zake 20 za shaba, lakini kulabu za nguzo na vitanzi vyake vitakuwa vya fedha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Hali kadhalika upande wa kaskazini, urefu wa chandarua utakuwa mita 44, na nguzo zake 20 za shaba, lakini kulabu za nguzo na vitanzi vyake vitakuwa vya fedha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Hali kadhalika upande wa kaskazini, urefu wa chandarua utakuwa mita 44, na nguzo zake 20 za shaba, lakini kulabu za nguzo na vitanzi vyake vitakuwa vya fedha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Upande wa kaskazini utakuwa na urefu wa dhiraa mia moja, nao utakuwa na mapazia, pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Upande wa kaskazini utakuwa na urefu wa dhiraa mia moja, nao utakuwa na mapazia, pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo.

Tazama sura Nakili

Kutoka 27:11
2 Marejeleo ya Msalaba  

na nguzo zake zitakuwa nguzo ishirini, na vitako vyake ishirini, vitako vyake vitakuwa vya shaba; kulabu za zile nguzo na vitanzi vyake vitakuwa vya fedha.

Na upande wa magharibi, upana wa ua kutakuwa na chandarua ya dhiraa hamsini; nguzo zake kumi, na vitako vyake kumi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo