Kutoka 26:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Nawe fanya mapazia ya singa za mbuzi yawe hema juu ya maskani; fanya mapazia kumi na moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 “Pia utatengeneza kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 “Pia utatengeneza kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 “Pia utatengeneza kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 “Tengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika Maskani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 “Tengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika maskani. Tazama sura |