Kutoka 26:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Nawe utaweka kiti cha rehema juu ya lile sanduku la ushuhuda ndani ya mahali pale patakatifu sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Ndani ya mahali patakatifu utakiweka kile kiti cha rehema juu ya sanduku la maamuzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Ndani ya mahali patakatifu utakiweka kile kiti cha rehema juu ya sanduku la maamuzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Ndani ya mahali patakatifu utakiweka kile kiti cha rehema juu ya sanduku la maamuzi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Weka kifuniko cha kiti cha rehema juu ya Sanduku la Ushuhuda ndani ya Patakatifu pa Patakatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Weka kifuniko cha kiti cha rehema juu ya Sanduku la Ushuhuda ndani ya Patakatifu pa Patakatifu. Tazama sura |