Kutoka 26:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Nawe utaisimamisha hiyo maskani sawasawa na mfano wake uliooneshwa mlimani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Hivyo utalitengeneza hema hilo kulingana na mfano niliokuonesha mlimani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Hivyo utalitengeneza hema hilo kulingana na mfano niliokuonesha mlimani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Hivyo utalitengeneza hema hilo kulingana na mfano niliokuonesha mlimani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 “Simamisha maskani ya Mungu sawasawa na mfano uliooneshwa kule mlimani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 “Simamisha Hema sawasawa na mfano ulioonyeshwa kule mlimani. Tazama sura |