Kutoka 26:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Na hilo taruma la katikati, lililo katikati ya zile mbao litapenya toka mwisho huu hata mwisho huu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Upau wa katikati uliofika nusu ya jengo la hema utapenya katikati toka mwisho huu hadi mwisho mwingine wa hema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Upau wa katikati uliofika nusu ya jengo la hema utapenya katikati toka mwisho huu hadi mwisho mwingine wa hema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Upau wa katikati uliofika nusu ya jengo la hema utapenya katikati toka mwisho huu hadi mwisho mwingine wa hema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Taruma la katikati litapenya katikati ya mihimili kutoka mwisho mmoja hadi mwisho mwingine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Taruma la katikati litapenya katikati ya mihimili kutoka mwisho mmoja hadi mwisho mwingine. Tazama sura |