Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 26:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Mbao zitakuwa ni nane, na vitako vyake vya fedha, vitako kumi na sita; vitako viwili chini ya ubao mmoja, na vitako viwili chini ya ubao wa pili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Hivyo kutakuwa na mbao nane pamoja na vikalio vyake kumi na sita vya fedha: Vikalio viwili chini ya kila mbao na vikalio viwili chini ya ubao mwingine.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Hivyo kutakuwa na mbao nane pamoja na vikalio vyake kumi na sita vya fedha: Vikalio viwili chini ya kila mbao na vikalio viwili chini ya ubao mwingine.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Hivyo kutakuwa na mbao nane pamoja na vikalio vyake kumi na sita vya fedha: vikalio viwili chini ya kila mbao na vikalio viwili chini ya ubao mwingine.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Kwa hiyo kutakuwa mihimili nane, na vitako kumi na sita vya fedha, viwili chini ya kila mhimili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Kwa hiyo itakuwepo mihimili minane, na vitako kumi na sita vya fedha, viwili chini ya kila mhimili.

Tazama sura Nakili




Kutoka 26:25
5 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe ufanye vitako arubaini vya fedha chini ya zile mbao ishirini, vitako viwili chini ya ubao mmoja, kupokea zile ndimi zake mbili, na vitako viwili chini ya ubao mwingine kupokea zile ndimi zake mbili;


Upande wa chini zitakuwa ni mbili mbili; vivyo hivyo zitaunganishwa pamoja mbao pacha hata ncha ya juu katika pete ya kwanza; zote mbili ndivyo zitakavyokuwa; zitakuwa kwa ajili ya hizo pembe mbili.


Nawe fanya mataruma ya mti wa mshita; mataruma matano kwa ajili ya mbao za upande mmoja wa maskani,


Hivyo zilikuwa mbao nane, na vitako vyake vya fedha, vitako kumi na sita, vitako viwili chini ya kila ubao.


Na hizo talanta mia moja za fedha zilikuwa kwa kutengenezea vile vitako vya mahali patakatifu na vitako vya hilo pazia; vitako mia moja kwa hizo talanta mia moja, talanta moja kitako kimoja.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo