Kutoka 26:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Upande wa chini zitakuwa ni mbili mbili; vivyo hivyo zitaunganishwa pamoja mbao pacha hata ncha ya juu katika pete ya kwanza; zote mbili ndivyo zitakavyokuwa; zitakuwa kwa ajili ya hizo pembe mbili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Mbao hizo za pembeni ziachane chini lakini zishikamanishwe kwa juu kwenye pete ya kwanza. Mbao zote za pembeni zifanywe vivyo hivyo ili zifanye pembe mbili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Mbao hizo za pembeni ziachane chini lakini zishikamanishwe kwa juu kwenye pete ya kwanza. Mbao zote za pembeni zifanywe vivyo hivyo ili zifanye pembe mbili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Mbao hizo za pembeni ziachane chini lakini zishikamanishwe kwa juu kwenye pete ya kwanza. Mbao zote za pembeni zifanywe vivyo hivyo ili zifanye pembe mbili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Katika pembe hizi mbili ni lazima mihimili yake iwe miwili kuanzia chini hadi juu, na iingizwe kwenye pete moja; mihimili ya pembe hizi mbili itafanana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Katika pembe hizi mbili ni lazima mihimili yake iwe miwili kuanzia chini mpaka juu, na iingizwe kwenye pete moja; mihimili ya pembe hizi mbili itafanana. Tazama sura |