Kutoka 26:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Tena ufanye mbao mbili kwa ajili ya hizo pembe za maskani zilizo upande wa nyuma. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Utatengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Utatengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Utatengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 na pia utengeneze mihimili miwili ya pembe za upande ulio mbali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 na pia utengeneze mihimili miwili ya pembe za upande ulio mbali. Tazama sura |