Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 26:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Kisha ufanye mbao sita kwa ajili ya upande wa nyuma wa maskani kuelekea magharibi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Kwa upande wa nyuma, ulio magharibi ya hema, utatengeneza mbao sita.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Kwa upande wa nyuma, ulio magharibi ya hema, utatengeneza mbao sita.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Kwa upande wa nyuma, ulio magharibi ya hema, utatengeneza mbao sita.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Kisha tengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa Maskani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Kisha tengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa maskani,

Tazama sura Nakili




Kutoka 26:22
4 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe fanya hizo mbao za maskani za mti wa mjohoro, zenye kusimama.


na vitako vyake vya fedha arubaini; vitako viwili chini ya ubao mmoja, na vitako viwili chini ya ubao mwingine.


Tena ufanye mbao mbili kwa ajili ya hizo pembe za maskani zilizo upande wa nyuma.


Na kwa upande wa nyuma wa hiyo maskani kuelekea magharibi akafanya mbao sita.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo