Kutoka 26:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 na vitako vyake vya fedha arubaini; vitako viwili chini ya ubao mmoja, na vitako viwili chini ya ubao mwingine. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 na vikalio vyake arubaini vya fedha, vikalio viwili chini ya kila ubao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 na vikalio vyake arubaini vya fedha, vikalio viwili chini ya kila ubao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 na vikalio vyake arubaini vya fedha, vikalio viwili chini ya kila ubao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili. Tazama sura |