Kutoka 26:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Kisha ufanye zile mbao za maskani, mbao ishirini kwa upande wa kusini kuelekea kusini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Basi, utatengeneza hizo mbao za hema hivi: Mbao ishirini kwa ajili ya upande wa kusini, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Basi, utatengeneza hizo mbao za hema hivi: Mbao ishirini kwa ajili ya upande wa kusini, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Basi, utatengeneza hizo mbao za hema hivi: mbao ishirini kwa ajili ya upande wa kusini, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Tengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa Maskani, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Tengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani, Tazama sura |