Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 26:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Kila ubao utakuwa na ndimi mbili, zenye kuunganishwa huu na huu; ndivyo utakavyozifanya mbao zote za maskani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Kila ubao utakuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Utazifanyia mbao zote ndimi mbili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Kila ubao utakuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Utazifanyia mbao zote ndimi mbili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Kila ubao utakuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Utazifanyia mbao zote ndimi mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 zikiwa na ndimi mbili zilizo sambamba kila mmoja na mwingine. Tengeneza mihimili yote ya Maskani jinsi hii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 zikiwa na ndimi mbili zilizo sambamba kila mmoja na mwingine. Tengeneza mihimili yote ya maskani jinsi hii.

Tazama sura Nakili




Kutoka 26:17
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kila ubao utakuwa na urefu wa dhiraa kumi, na upana wake kila ubao utakuwa dhiraa moja na nusu.


Kisha ufanye zile mbao za maskani, mbao ishirini kwa upande wa kusini kuelekea kusini.


Nawe ufanye vitako arubaini vya fedha chini ya zile mbao ishirini, vitako viwili chini ya ubao mmoja, kupokea zile ndimi zake mbili, na vitako viwili chini ya ubao mwingine kupokea zile ndimi zake mbili;


Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili, zilizounganywa pamoja; ndivyo alivyozifanya hizo mbao zote za maskani.


naye akafanya vitako vya fedha arubaini viwe chini ya hizo mbao ishirini; vitako viwili chini ya ubao mmoja kwa hizo ndimi zake mbili, na vitako viwili chini ya ubao mwingine kwa ndimi zake mbili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo