Kutoka 26:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Kila ubao utakuwa na urefu wa dhiraa kumi, na upana wake kila ubao utakuwa dhiraa moja na nusu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kila ubao utakuwa na urefu wa mita 4, na upana wa sentimita 66. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kila ubao utakuwa na urefu wa mita 4, na upana wa sentimita 66. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kila ubao utakuwa na urefu wa mita 4, na upana wa sentimita 66. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kila mhimili uwe na urefu wa dhiraa kumi na upana wa dhiraa moja na nusu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kila mhimili uwe na urefu wa dhiraa kumi na upana wa dhiraa moja na nusu, Tazama sura |