Kutoka 26:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Nawe fanya hizo mbao za maskani za mti wa mjohoro, zenye kusimama. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 “Utatengeneza mbao za mjohoro za kusimama wima kwa ajili ya hema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 “Utatengeneza mbao za mjohoro za kusimama wima kwa ajili ya hema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 “Utatengeneza mbao za mjohoro za kusimama wima kwa ajili ya hema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 “Tengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani ya Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 “Tengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani. Tazama sura |