Kutoka 26:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Na kipande kile kilichosalia, kile kiangukacho, cha yale mapazia ya hema, ile nusu ya pazia iliyosalia, itaanguka huko upande wa nyuma wa maskani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Ile nusu ya pazia iliyobaki utaitundika upande wa nyuma wa hema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Ile nusu ya pazia iliyobaki utaitundika upande wa nyuma wa hema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Ile nusu ya pazia iliyobaki utaitundika upande wa nyuma wa hema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kuhusu kile kipande cha ziada cha pazia za hema, nusu ya hilo pazia lililobaki litaning’inizwa upande wa nyuma wa maskani ya Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kuhusu kile kipande cha ziada cha pazia la Hema, nusu ya hilo pazia lililobaki litaning’inizwa upande wa nyuma wa Hema. Tazama sura |