Kutoka 25:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Nao na wanifanyie patakatifu; ili nipate kukaa kati yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Vilevile Waisraeli watanitengenezea hema takatifu, ili niweze kukaa kati yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Vilevile Waisraeli watanitengenezea hema takatifu, ili niweze kukaa kati yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Vilevile Waisraeli watanitengenezea hema takatifu, ili niweze kukaa kati yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 “Kisha uwaamuru wanitengenezee mahali patakatifu, nami nitakaa miongoni mwao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 “Kisha uwaamuru wanitengenezee mahali patakatifu, nami nitakaa miongoni mwao. Tazama sura |
Akaniambia, Mwanadamu, hapa ni mahali pa kiti changu cha enzi, na mahali pa nyayo za miguu yangu, nitakapokaa kati ya wana wa Israeli milele; na nyumba ya Israeli hawatalinajisi jina langu takatifu tena, wao, wala wafalme wao, kwa mambo yao ya kikahaba, na kwa mizoga ya wafalme wao, katika mahali pao pa juu;