Kutoka 25:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 na vito vya shohamu, na vito vingine vya kutiwa kwa ile naivera, na kwa kile kifuko cha kifuani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 vito vya sardoniki, na vito vingine kwa ajili ya mapambo ya kizibao cha kuhani na kifuko cha kifuani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 vito vya sardoniki, na vito vingine kwa ajili ya mapambo ya kizibao cha kuhani na kifuko cha kifuani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 vito vya sardoniki, na vito vingine kwa ajili ya mapambo ya kizibao cha kuhani na kifuko cha kifuani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 na vito vya shohamu na vito vingine vya thamani vya kuweka kwenye kizibau na kile kifuko cha kifuani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 na vito vya shohamu na vito vingine vya thamani vya kuweka kwenye kisibau na kile kifuko cha kifuani. Tazama sura |