Kutoka 25:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC39 Kitafanywa cha talanta moja ya dhahabu safi, pamoja na vyombo hivi vyote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Utatumia kilo thelathini na tano za dhahabu safi kutengeneza kinara hicho na vifaa vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Utatumia kilo thelathini na tano za dhahabu safi kutengeneza kinara hicho na vifaa vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Utatumia kilo thelathini na tano za dhahabu safi kutengeneza kinara hicho na vifaa vyake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Utatumia talanta moja ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na vifaa vyake vyote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Utatumia talanta moja ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na vifaa vyake vyote. Tazama sura |