Kutoka 25:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 na katika hicho kinara vikombe vinne vilivyofanywa mfano wa maua ya mlozi, matovu yake, na maua yake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Na katika ufito kutakuwa na vikombe vinne mfano wa maua ya mlozi, pamoja na vifundo vyake na maua yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Na katika ufito kutakuwa na vikombe vinne mfano wa maua ya mlozi, pamoja na vifundo vyake na maua yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Na katika ufito kutakuwa na vikombe vinne mfano wa maua ya mlozi, pamoja na vifundo vyake na maua yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Juu ya kinara chenyewe vitakuwa vikombe vinne vya mfano wa maua ya mlozi, yakiwa na matovu yake na maua yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Juu ya kinara chenyewe vitakuwepo vikombe vinne vya mfano wa maua ya mlozi yakiwa na matovu yake na maua yake. Tazama sura |