Kutoka 25:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Sadaka utakayopokea mikononi mwao ni hii; dhahabu, fedha na shaba, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Utapokea matoleo yafuatayo: Dhahabu, fedha, shaba, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Utapokea matoleo yafuatayo: Dhahabu, fedha, shaba, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Utapokea matoleo yafuatayo: dhahabu, fedha, shaba, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 “Hizi ndizo sadaka utakazozipokea kutoka kwao: “dhahabu, fedha na shaba; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Hizi ndizo sadaka utakazozipokea kutoka kwao: dhahabu, fedha na shaba; Tazama sura |