Kutoka 25:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Fanya ile miti ya mti wa mshita, na kuifunika dhahabu, kwamba ile meza ichukuliwe kwayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Utatengeneza mipiko ya mjohoro na kuipaka dhahabu; mipiko itakuwa ya kuibebea hiyo meza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Utatengeneza mipiko ya mjohoro na kuipaka dhahabu; mipiko itakuwa ya kuibebea hiyo meza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Utatengeneza mipiko ya mjohoro na kuipaka dhahabu; mipiko itakuwa ya kuibebea hiyo meza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Tengeneza mipiko hiyo kwa mbao za mshita, uifunike na dhahabu, uitumie kubeba hiyo meza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Tengeneza mipiko hiyo kwa mbao za mshita, uifunike na dhahabu, uitumie kubeba hiyo meza. Tazama sura |