Kutoka 25:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Uifunike dhahabu safi, na kuifanyia ukingo wa dhahabu wa kuizunguka pande zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Hiyo meza utaipaka dhahabu safi na kuizungushia utepe wa dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Hiyo meza utaipaka dhahabu safi na kuizungushia utepe wa dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Hiyo meza utaipaka dhahabu safi na kuizungushia utepe wa dhahabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Ifunike kwa dhahabu safi, na kuitengenezea ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Ifunike kwa dhahabu safi, na kuitengenezea ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote. Tazama sura |