Kutoka 25:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Hiyo miti itakaa katika vile vikuku vya sanduku; haitaondolewa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mipiko hiyo itabaki daima katika pete; isitolewe wakati wowote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mipiko hiyo itabaki daima katika pete; isitolewe wakati wowote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mipiko hiyo itabaki daima katika pete; isitolewe wakati wowote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Hiyo mipiko itabakia daima katika hizo pete za hilo Sanduku; haitaondolewa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Hiyo mipiko itabakia daima katika hizo pete za hilo Sanduku; haitaondolewa. Tazama sura |