Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 24:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 akapeleka vijana wa wana wa Israeli, waliotoa sadaka za kuteketezwa, wakamchinjia BWANA sadaka za amani za ng'ombe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Kisha akawatuma vijana wa Waisraeli wamtolee Mwenyezi-Mungu sadaka za kuteketezwa na kumchinjia sadaka za amani za ng'ombe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Kisha akawatuma vijana wa Waisraeli wamtolee Mwenyezi-Mungu sadaka za kuteketezwa na kumchinjia sadaka za amani za ng'ombe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Kisha akawatuma vijana wa Waisraeli wamtolee Mwenyezi-Mungu sadaka za kuteketezwa na kumchinjia sadaka za amani za ng'ombe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Kisha akawatuma vijana wanaume Waisraeli, nao wakatoa sadaka za kuteketezwa na dhabihu za mafahali wachanga kuwa sadaka za amani kwa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Kisha akawatuma vijana wanaume wa Kiisraeli, nao wakatoa sadaka za kuteketezwa na dhabihu za mafahali wachanga kuwa sadaka za amani kwa bwana.

Tazama sura Nakili




Kutoka 24:5
7 Marejeleo ya Msalaba  

Nikusanyieni wacha Mungu wangu Waliofanya agano nami kwa dhabihu.


Yethro mkwewe Musa akamletea Mungu sadaka ya kuteketezwa na dhabihu; na Haruni akaja, na wazee wote wa Israeli, wale chakula pamoja na mkwewe Musa mbele za Mungu.


Makuhani nao, wamkaribiao BWANA, na wajitakase, BWANA asije akawakasirikia.


Utanifanyia madhabahu ya udongo, nawe utatoa dhabihu zako juu yake; sadaka za kuteketezwa, na sadaka za amani, kondoo wako, na ng'ombe wako, kila mahali nitakapotia ukumbusho wa jina langu, hapo ndipo nitakapokujilia na kukubarikia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo