Kutoka 24:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Musa akapanda mlimani, lile wingu likaufunikiza mlima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Basi, Mose akaenda mlimani, na wingu likaufunika mlima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Basi, Mose akaenda mlimani, na wingu likaufunika mlima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Basi, Mose akaenda mlimani, na wingu likaufunika mlima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Musa alipopanda juu mlimani, wingu liliufunika huo mlima, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Musa alipopanda juu mlimani, wingu liliufunika huo mlima, Tazama sura |