Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 23:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Ukimwona ng'ombe wa adui wako, au punda wake, amepotea, sharti umrudishie mwenyewe tena.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 “Ukimkuta ng'ombe au punda wa adui yako amepotea, utamrudishia mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 “Ukimkuta ng'ombe au punda wa adui yako amepotea, utamrudishia mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 “Ukimkuta ng'ombe au punda wa adui yako amepotea, utamrudishia mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 “Ukikutana na maksai au punda wa adui yako anapotea, hakikisha umemrudisha kwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 “Kama ukikutana na maksai au punda wa adui yako anapotea, hakikisha umemrudisha kwake.

Tazama sura Nakili




Kutoka 23:4
9 Marejeleo ya Msalaba  

Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa;


au kupata kitu kilichopotea na kutenda la uongo juu yake, na kuapa kwa uongo; katika mambo hayo yote mojawapo atakalolitenda mtu, na kufanya dhambi kwalo;


lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,


Angalieni mtu awaye yote asimlipe mwenziwe mabaya kwa mabaya; bali siku zote lifuateni lililo jema, ninyi kwa ninyi na kwa watu wote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo