Kutoka 23:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Mara tatu kila mwaka utaniwekea sikukuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 “Mara tatu kila mwaka mtafanya sikukuu kwa heshima yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 “Mara tatu kila mwaka mtafanya sikukuu kwa heshima yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 “Mara tatu kila mwaka mtafanya sikukuu kwa heshima yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 “Mara tatu kwa mwaka utanifanyia sikukuu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 “Mara tatu kwa mwaka utanifanyia sikukuu. Tazama sura |
Lakini watu wa nchi watakapokuja mbele za BWANA katika sikukuu zilizoamriwa, yeye aingiaye kwa njia ya lango la upande wa kaskazini ili kuabudu, atatoka kwa njia ya lango la upande wa kusini; na yeye aingiaye kwa njia ya lango la upande wa kusini, atatoka kwa njia ya lango la upande wa kaskazini; hatarudi kwa njia ya lango aliloingia kwalo, lakini atatoka kwa kwenda mbele moja kwa moja.