Kutoka 23:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Yaangalieni hayo yote niliyowaambia; wala msitaje kabisa majina ya miungu mingine, wala yasisikizwe kutoka kinywani mwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Yazingatie yote niliyokuambia. Usiyataje hata kidogo majina ya miungu mingine; hayo yasisikike kinywani mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Yazingatie yote niliyokuambia. Usiyataje hata kidogo majina ya miungu mingine; hayo yasisikike kinywani mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Yazingatie yote niliyokuambia. Usiyataje hata kidogo majina ya miungu mingine; hayo yasisikike kinywani mwako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “Uzingatie kutenda kila kitu nilichokuambia. Usiombe kwa majina ya miungu mingine, wala usiyaruhusu kusikika kinywani mwako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “Uzingatie kutenda kila kitu nilichokuambia. Usiombe kwa majina ya miungu mingine, wala usiyaruhusu kusikika kinywani mwako. Tazama sura |