Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 22:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Mtu akimshawishi mwanamwali, aliyeposwa na mume, na kulala naye, lazima atatoa mahari kwa ajili yake ili awe mkewe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 “Mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa, akalala naye, lazima atoe mahari na kumwoa msichana huyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 “Mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa, akalala naye, lazima atoe mahari na kumwoa msichana huyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 “Mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa, akalala naye, lazima atoe mahari na kumwoa msichana huyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 “Mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa na akalala naye, lazima alipe mahari, kisha atamwoa msichana huyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 “Kama mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa na akilala naye, lazima alipe mahari, kisha atamwoa msichana huyo.

Tazama sura Nakili




Kutoka 22:16
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kama huyo mwenyewe alikuwapo pamoja na mnyama wake, hatalipa; kama ni mnyama wa kukodisha ni gharama ya kukodisha tu atakayepewa mwenyewe.


Mwendo wa tai katika hewa; Na mwendo wa nyoka juu ya mwamba; Mwendo wa merikebu katikati ya bahari; Na mwendo wa mtu pamoja na msichana.


Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo