Kutoka 22:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Lakini kwamba aliibiwa mnyama huyo, sharti amlipe yule mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Lakini kama aliibiwa kwake, ni lazima amlipe mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Lakini kama aliibiwa kwake, ni lazima amlipe mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Lakini kama aliibiwa kwake, ni lazima amlipe mwenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Lakini kama mnyama aliibwa kwa jirani, itampasa amlipe mwenye mnyama. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Lakini kama mnyama aliibwa kwa jirani, itampasa amlipe mwenye mnyama. Tazama sura |