Kutoka 21:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Akimposa mwanawe, atamtendea kama desturi zipasazo binti zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kama ataamua kumwoza kwa mwanawe, atamtendea mtumwa huyo kama binti yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kama ataamua kumwoza kwa mwanawe, atamtendea mtumwa huyo kama binti yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kama ataamua kumwoza kwa mwanawe, atamtendea mtumwa huyo kama binti yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Akimchagua aolewe na mwanawe, ni lazima ampe haki za kuwa binti yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kama akimchagua aolewe na mwanawe, ni lazima ampe haki za kuwa binti yake. Tazama sura |