Kutoka 21:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Lakini huyo mtumwa akisema waziwazi, Mimi nampenda bwana wangu, na mke wangu na watoto wangu; sitaki mimi kutoka niwe huru; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Lakini kama mtumwa huyo akisema kwamba anampenda bwana wake, mke wake na watoto wake na hataki kuondoka na kuwa huru, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Lakini kama mtumwa huyo akisema kwamba anampenda bwana wake, mke wake na watoto wake na hataki kuondoka na kuwa huru, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Lakini kama mtumwa huyo akisema kwamba anampenda bwana wake, mke wake na watoto wake na hataki kuondoka na kuwa huru, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 “Lakini mtumishi akisema, ‘Ninampenda bwana wangu, mke wangu pamoja na watoto na sitaki kuwa huru,’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Lakini kama mtumishi akisema, ‘Ninampenda bwana wangu, mke wangu pamoja na watoto na sitaki kuwa huru,’ Tazama sura |