Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 21:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Mtu yeyote ampigaye mtu, hata akafa, hana budi atauawa huyo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 “Ampigaye mtu na kumwua, lazima auawe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 “Ampigaye mtu na kumwua, lazima auawe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 “Ampigaye mtu na kumwua, lazima auawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 “Yeyote anayempiga mtu na kumuua ni lazima auawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 “Yeyote ampigaye mtu na kumuua ni lazima auawe hakika.

Tazama sura Nakili




Kutoka 21:12
11 Marejeleo ya Msalaba  

Hakika damu yenu ya uhai wenu nitaitaka; na kwa mkono wa kila mnyama nitaitaka; na kwa mkono wa mwanadamu, kwa mkono wa ndugu ya mtu nitataka uhai wa mwanadamu.


Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.


Daudi akamwambia Nathani, Nimemfanyia BWANA dhambi. Nathani akamwambia Daudi, BWANA naye ameiondoa dhambi yako; hutakufa.


Ikiwa hamfanyii mambo haya matatu, ndipo atatoka aende bure, pasipo kutolewa mali.


Na mtu ampigaye mtu hadi akafa, lazima atauawa;


Ndipo Yesu akamwambia, Rudisha upanga wako mahali pake, maana wote waushikao upanga, wataangamia kwa upanga.


Na alaaniwe ampigaye mwenzake kwa siri. Na watu wote waseme Amina.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo