Kutoka 21:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Ikiwa hamfanyii mambo haya matatu, ndipo atatoka aende bure, pasipo kutolewa mali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Iwapo huyo bwana hatamtimizia haki hizo tatu, basi, mke ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Iwapo huyo bwana hatamtimizia haki hizo tatu, basi, mke ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Iwapo huyo bwana hatamtimizia haki hizo tatu, basi, mke ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Iwapo hatamtosheleza kwa mambo hayo matatu, huyo mke wa kwanza ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote ya fedha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Iwapo hatamtosheleza kwa mambo hayo matatu, huyo mke wa kwanza ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote ya fedha. Tazama sura |